Monday, June 29, 2009

SWALI LA MDAU

Mdau mmoja jina kapuni anauliza, eti utajuaje kwamba unampenda mwenzako na uko tayari kuishi naye kama mwanandoa?
Na je kuna vigezo vyovyote vinatumika kama kipimo cha kutambua hili?
Wadau karibuni mchangie kumsaidia mwenzetu, maana yuko njia panda na ndoa ana hamu nayo haswa...

Are you ready for starting a Relationship?


When you look at yourself in a mirror, all you see is the outside, but who is that person looking back at you?
How could another person understand you, if you do not even know yourself? What do you have to offer? Nothing if you lack the knowledge and information of who you are! This is why going through a self-check is important. Get to know yourself first by knowing what you like and dislike, what your goals in life are and what makes you feel great about YOU.


Getting in touch with your fears will also guide you into more self-realization and love.
First figure what your fears are. Are you afraid of getting involved with someone seriously, in fear of getting dumped in the long run? Or has a past relationship damaged your image of love; due to the pain it caused you? These are all understandable fears and almost everyone has them, but you should not let these fears stop you from moving on or being happy. You need to rebuild confidence in yourself and others. Other examples would be fear of not being good enough and fear of missing out on other adventures. Whatever your fear may be, you must trap that fear, find out the causes and then work on a solution on how to conquer them.


Being sexually confident will help your relationship stay happy and exciting.
The next time you look into your mirror, take a good look at yourself and make mental notes of what you do and do not like about your physical appearance. By acknowledging this, you will be able to work on the areas that make you feel uncomfortable and unattractive about yourself so that you will not feel that way when you get involved with someone. You will feel free to act and move whichever way you desire to in the bedroom, without fearing that your partner will judge you. The two of you should experience lovemaking as an exciting, emotional and entwining experience, not a body judging session.


Having your own independent and personal life organized first is key to maintaining healthy, loving and stable relationships. It will leave your mind and heart open to learning about your partner instead of trying to figure yourself out at the same time, which can cause resentment and doubt down the road.

MESSAGE OF THE DAY




MALE LIFE CYCLE


Mie simo wajameni, nawakilisha picha kama nilivyopokea kutoka kwa mdau....

Thursday, June 25, 2009

WHAT MEN WANT IN A WOMAN????


Mimi nawakilisha mada kwenu kwa kutaja mambo muhimi matano, kama kuna la ziada tafadhali changia mjadala. Kubisha pia inaruhusiwa... Wanaume mpo na akina dada je?

1. Wanaume hupenda mwanamke mpole na mkweli

2. Mwenye upendo na kujali

3. Ambaye ni mcheshi na rafiki

4. Mwanamke anayejiamini

5. Mwanamke anayejua kupika


Wadau mpo au hili changa la macho?

KINDS OF SEX

Results of a recent research shows that there are 7 kinds of sex.
The 1st kind of sex is called: Smurf Sex.This kind of sex happens when you first meet someone and you both have sex until you are blue in the face.
The 2nd kind of sex is called: Kitchen Sex. This is when you have been with your partner for a short time and you are so needy you will have sex anywhere, even in the kitchen.
The 3rd kind of sex is called: Bedroom Sex. This is when you have beenwith your partner for a long time. Your sex has gotten routine and you usually have sex only in your bedroom.
The 4th kind of sex is called: Hallway Sex * This is when you have beenwith your partner for too long. When you pass each other in the hallway you both say 'screw you.'
The 5th kind of sex is called: Religious Sex. Which means you get Nun in the morning, Nun in the afternoon and Nun at night.(Very Popular).
The 6th kind is called Courtroom Sex. This is when you cannot stand your wife any more. She takes you to court and screws you in front of everyone.
And; Last, but not least,
The 7th kind of sex is called: Social Security Sex. You get a little each month But not enough to enjoy your self.

Wednesday, June 24, 2009

VYUMBANI MWETU




Mjadala wetu kwa leo, ungependa kuangalia zaidi suala la vyumba vya kulala. Kuna mdau yeye kasema chumbani ni lazima pawe na mazingira fulani ili yeye awe na hamu ya kufanya mapenzi na mwenzi wake. Yeye anasema bila chumba kunukia udi au maua, anakuwa hana hamu kabisa ya tendo la ndoa. Kwa kuwa tupo kwa ajili ya kuelimishana sio vibaya tukachangia mawazo ni nini haswa mazingira yanayotakiwa chumbani, na kama kuna uhusiano kati ya chumba na tendo la ndoa.

SWALI LA LEO

Do men believe in love at first sight???? Wadau naomba mchangie maana hapa nilipo kuna mabishano sana, kila mtu anajaribu kujielezea upande wake...

Tuesday, June 23, 2009

Sexless Marriage - Msaada tutani


Mdau wa nchi za watu kaniletea tulijadili hili...


I've been married almost 40 years with two grown children. I consider myself a Christian. My husband has not had sex with me for over 16 years. Prior to that it was seldom, maybe 1/2 dozen times a year. It was by his choice as I have always loved sex.
In desperation, almost 15 years ago, I became involved with a married man whose situation was quite similiar. We took care of each others sexual needs but neither ever wanted a divorce from their spouses.
Except for the total lack of sex my husband and I get along reasonable well and neither have any interest in a divorce. Even prior to the start of my affair he had serious ED problems but has refused, and still refuses, to see a dr., try Viagra, etc. He absolutely refuses any kind of counseling. He is a porn addict, always has been, although I did not know this before the marriage.
Six months ago the guilt caught up with me and I ended the affair but had a talk with my husband, asking him to see a dr. try Viagra and that I did not want to live as brother and sister. He said ok but virtually nothing has happened. I still do not want a divorce but the total lack of sex is catching up with me.
Has God decided to punish me and make me go the rest of my life with no sex? Other than a divorce is there no middle ground? I am thinking about starting up the affair again but am afraid of the guilt that will go with it. I cannot even get my husband to attempt to satisfy me with his hands, mouth, sex toys, etc. so its either the affair or divorce. I'm looking for a choice other than divorce that will satify my sex needs and will not kill me with that awful guilt. Why is it so wrong to enjoy sex?

MAJISIFU BAADA YA NGONO


Wasalaam wapenzi wa kablog ketu ka malavidavi na pesa.

Kuna suala zima limekuwa likinitatiza sana mara kwa mara ninapokuwa vijiweni au kwenye mijumuiko ya kijamii, na suala hili ni majisifu baada ya mtu kufanya mapenzi/ngono na mwenzie. Utakuta kijana anajisifia kwa wenzake, eti mimi yule demu nshamkaza sana au nshazini nae sana tu. Mtu huyu anachukulia kama vile kitendo hicho ni cha ufahari sana mbele za watu. Maswali ninayojiuliza mpaka leo sipati majibu ni; Hivi kutenda ngono na mtu ni sifa? Na kama mlikuwa wawili wakati wa ngono, jamii inahusika vipi na habari hii? Au nia huwa ni kumchafulia tabia mwenzako na kumdhalilisha?

Binafsi sioni cha ajabu sana kuhusiana na hili, maana ni maamuzi yenu wenyewe, tena mtu mwingine utakuta anamuongelea mke mtarajiwa wake namna hiyo. Sasa hii ni sifa au ulimbukeni????

Wadau yangu ni hayo tu kutoka mtaani kwetu. Karibuni kwa mchango wa mawazo.

Monday, June 22, 2009

FUMANIZI LA LEO

Mjadala wa nyumba ndogo unaendelea na kujaribu kuangalia upande wa jinsia ya kiume. Je wanaume wanaotembea na wake za watu nao ni mahawara au nyumba ndogo aka small house??? Haya yamemkuta mdau wa ughaibuni alinusura apoteze maisha.

MDAU KAWASILISHA MADA

Shukrani natanguliza kwa haka kalibeneke. labda tu kwa kuanza niseme siwezi kutetea ni nani bora kati ya hawara au nymba ndogo,ila nielekeze mchango kwa kujibu swali la"ninini hasa humfanya mwanamume kuchepuka nje ya ndoa"mimi kama mwanamume kwanza niseme hapa kuna sababu nyingi tu zinazopelekea mwanamume kuchepuka nje ya ndoa.nazigawa kama ifuatavyo:-
1.mahusiano mabaya ndani ya ndoa yanayopelekea ndoa kutokuwa mahala pa kupumzika bali mahali pa kujibu tuhuma na kuwekwa kitimoto cha hapa na pale hata bila sabau za msingi.
2.HAPA SASA MTANIWIA RADHI;nikweli kabisa mwenyezi mungu kasisitiza watu wasifanye uzinifu kabla ya na nje ya ndoa lakini kutokana na udhaifu wa binadamu unaochangiwa na sababu nyingi hupelekea binadamu huyu kuanza tendo la ngono kabla ya ndoa na maranyingi uhusiano huu huwa namahusiano haya na wasichana tofauti ktk maisha yake. Napenda nijitolee mfano mimi mwenyewe kilicho nitokea mimi nikiweza kujiwekea lengo la kuoa bila kuwahi kushiriki tendo la ngono,nikasoma hadi nikamaliza chuo,lakini katika pilika za hapa na pale nikajikuta nakwenda nje kusoma ktk elimu ya juu zaidi na uwezekano wa kuoa sikuwa nao, ndipo sasa mwili ukanilemea nikashindwa kujizuia zaidi nikaamua nitafute girlfriend,nikampata mtoto wa kizungu tuliyekuwa tunasoma naye, nikawa na mahusiano naye kisha alipochoka akaamua tuachane. Alipo tema mzigo tu nikapata tena mwingine na hapa NIKAANZA KUONA TOFAUTI KATI YA A na B. Nikweli wasichana wote hawafanani kitandani, kuna tofauti kubwa sana kati ya mmoja na mwingine,hadi sasa nikajikuta kamchezo hako ka kuwa na uhusiano una vunjika kwa sababu zinazolazimu bila ugomvi kama vile kuhama, kumaliza masomo n.k na kwakuwa hawakuwa tayari ktk kuoana nimejikuta tayari nimekuwa na ma girfriend 10 ndani ya 41/2 yr. Kwa bahati mbaya wote ni wasichana wa kizungu UTAMU WENYEWE NDIO HUU:
Katika hizo pitapita zangu kilinitokea kitu kilichonifanya nikaanza ku-cheat on one of them,nacho ni hiki:=yule msichana alikuwa ni mrembo sijawahi kuwa na gf mrembo kama yule kabla na baada,kusema kweli she is cute kwa sifa zote kuanzia sura,figure etc yaani mtu akiona unacheat hatakuelewa kwani mwingine anamtamani kwa nje, lakini JAMANI nyie ni watu wazima nadhani mtaelewa nachosema hapa,yaani kitandani nilikuwa naliona tendo la sex na yeye kama ni adhabu napata:
1.hajui kuserebuka kabisa
2.alikuwa pale kwa bibi ni kwa baridi sana kisha yaani sijui nisemeje hakunipi hisia yoyote kabisa,kamavile nimeingia sijui wapi vile,very sleamy and verybad experince indeed. SASA NIKAJIULIZA JE KAMA INGEKUWA NDO YALE YA KUOANA MBUZI NDANI YA GUNIA JE NINGEFANYAJE?MAANA SIJARIDHIKA NA MBUZI MWENYEWE! nadhani ningelazimika kucheat sio kwa sababu napenda ila kwasababu nilisha onja nanasi kwa A,Embe kwa B,chungwa kwa C,ndimu kwa D, kisha nikakuta tango/palachichi kwa E. Sasa kwakuwa silipendi tango mie ikawa tabu kwangu, kwa ufupi na experince yangu hiyo nadhani chanzo kikubwa huwa ni hicho(to find a different flavour baada ya kuwa hujui namna ya kulila tango kama hukujuwa tangu awali,au tamaa baadaya ya chungwa lako kuanza kuchacha na ukashindwa kulimaintain liwe ktk flavour nzuri)
(Siyo mimi jamani ni mmoja wa wadau ametoa mchango wake katika haka kalibeneke ketu)

PESA NA STRESS

Wapendwa wadau, leo nimekuja na hoja kuhusu uhusiano kati ya pesa na stress. Utakuta mtu analalamika akiwa hana pesa eti ana stress sana. Hivi kweli kuna uhusiano kwenye hivi vitu viwili au binadamu tunapenda sana kujitafutia sababu za stress?
Namalizia kwa kunukuu maneno yafuatayo; kumradhi nukuu yenyewe iko kwenye lugha ya kigeni na mkalimani yuko mbali.

" A recent study from Ohio state university found that people with financial problems, in particular credit card debt, suffered from more emotional problems than those who did not have money related stress". Mwisho wa nukuu, nasubiria hoja zenu wadau...

WOMAN VS MAN




Hivi mbona mnatuonea sana jamani, mdau mmoja engineer kanitumia theory zake za kumuelezea mwanamke,sasa sijui kama ina ukweli au la, nawaachia wadau mjionee wenyewe. Mimi mwenyewe hesabu not reachable naona maluweluwe tu..

SEX AKA TENDO LA NDOA NI AFYA

Shukrani kwa mdau aliyenitumia makala hii, na mimi sina hiyana nairusha kwenu moja kwa moja. Kuna mwenye hoja tofauti kuhusu hii habari???

Wengi huja na sababu lukuki linapokuja suala la kuwa mwili mmoja (kwenye ndoa) “mara kichwa kinauma” au “nimechoka sana leo” au “sijisikiii vizuri”lengo ni kukwepa sex.Hata hivyo tafiti nyingi zinaonesha kuwa kuna faida kubwa sana kupata huduma ya tendo la ndoa angalau mara mbili au tatu kwa wiki, kumbuka too much is harmful
FAIDA YA SEX KWA AFYA YA MWILIHuimarisha immune system kwenye mwili.Wanandoa ambao hushiriki angalau mara mbili kwa wiki walionesha kiwango kikubwa cha antibody zinazosaidia kupigana na magonjwa.
Huongeza umri wa kuishi.Wanaume ambao walikuwa wanafika kileleni (orgasm) zaidi ya miaka 10 wali- boost uwezo wa kuishi miaka zaidi kuliko wale ambao walikuwa na hawafiki kileleni.
Hupunguza uwezokano wa kupata prostate cancer.Wanaume ambao wali ejaculate zaidi ya miaka 35 walikuwa na asilimia 33 pungufu kupata prostate cancer.
Hupunguza cholesterol (mafuta)Kutokana na zoezi la kufanya mapenzi (sex) ni zoezi tosha kuweza kupunguza cholesterol na kuondokana na kupata magonjwa ya moyo.
Huimarisha mzunguko wa damu mwiliniTunapofanya mapenzi mapigo ya moyo huongezeka na mzunguko wa damu huwa na speed zaidi na damu huongezekana maradufu kwenye ubongo na sehemu zingine za mwili na matokeo ni mzunguko wa damu kuwa mzuri mwili mzima.
Huongeza uwezo wa kukua (growth)Watafiti wengi wanakiri kwamba sex huongeza uwezekano wa mifupa kukua na kuimarisha repair ya tishu kwenye mwili.
Huimarisha uwezo wa kunusaBaada ya sex, kuzalishwa kwa homoni ya prolactin huongezeka na huwezesha stem cells zilizopo kwenye ubongo kuzalisha neurons ambazo husaidia kunusa vizuri.
Hupunguza maumivu (pain relief)Unapokaribia kufika kileleni kiwango cha homoni za oxytocin huongezeka mara tano zaidi kuliko kiwango cha kawaida, matokeo ni kutolewa kwa endorphins ambayo hupunguza maumivu ya kila kitu kuanzia kichwa, arthritis nk.
Huimarisha kibofu cha mkojoWakati wa sex unatumia muscles zile zile unatumia kukojoa (urine), kutumia mara kwa mara kwa hii misuli huwezesha kuwa na uwezo wa kuthibiti kibofu cha mkojo.
Huimarisha ukeWanawake ambao huamua kutoshiriki sex wanakuwa na uwezekano wa kujisikia maumivu wakati wa sex (vaginal atrophy) kwa kushiriki mara kwa mara uke huwa mwepesi kutoa lubricant na hakuna maumivu.Hapa kuna kanuni “use it or lose it!
Husaidia healing ya vidondaBaadhi ya evidence zinapendekeza kwamba sex huweza kusaidia vidonda kupona haraka, ushahidi ni kwamba homoni za oxytocinhusaidia vidonda kupona kwa regeneration ya seli mwilini na oxytocinhuzalisha pale ukishiriki sex.
Hupunguza uwezekano wa kupata cancer ya matiti.Wanawake ambao hawajawahi kuzaa walionekana kuwa na uwezekano mkubwa wa kupata cancer ya matiti, hii ina maana kwamba kujihusisha na sex hupunguza kupata cancer ya matiti.
FAIDA YA SEX KWA AFYA YA AKILI
Hupunguza stressSex huweza kupunguza stress kwa kupunguza kiwango cha masumbuko (anxiety) na kuongeza relaxation na kusaidia kuwa na usingizi mzuri.
Hupambana na depressionWanawake ambao walijihusisha na sex kwa kuwa contact na semen walikuwa less depressed kuliko wale wambao hawakufanya.
Hupambana na kuthibiti alama za kuzeekaSex hufanya mtu kuonekana kijana zaidi.Katika utafiti mmoja watu ambao walishiriki sex zaidi ya mara 3 kwa wiki walionekana ni vijana zaidi ya miaka 10 pungufu ukilinganisha na wale ambao walikwepa sex.
Huimairsha kujisikia upo fitDakika 30 za kufanya mapenzi huweza kuchoma kiasi cha 150 calories.Na mtu anayeshiriki sex kila mara 3 kwa wiki huweza kupunguza kilo 2.5 za uzito kwa mwaka. Pia sex huweza kunyumbua misuli na kupelekea mtu kuwa fit, pia hekaheka za milalo mbalimbali huweza kufanya contractions ya mapaja, mikono, mabega, shingo, tumbo, kifua, mgongo, matako, miguu, kiuno na pia sex huzalisha testosterone ambayo huimarisha mifupa na misuli.
Husaidia nywele kung’aa na ngozi kuwa imaraSex huongeza kiwango cha estrogen ambayo husaidia nywele kung’aa na ngozi kuwa imara kwa mwanamke.
Husaidia meno kuwa imaraMara nyingi kabla ya sex wahusika hujitahidi kusafisha meno (brushing) kwa njia hii una kuwa imeimarisha afya ya kinywa.Pia wakati wa sex hasa maandalizi huhusisha kissing ambayo hufanya kazi nzuri kusafisha meno na fizi.Seminal plasma zinazozalishwa huwa na zinc, calcium na madini mengine muhimu kwa afya ya meno.
FAIDA YA SEX KWA AFYA YA UZAZIHusaidia kuwa na mzunguko mzuri za siku za mwanamke.Wanawake ambao hujihusisha na sex angalau siku moja kwa wiki huwa na mzunguko wa siku uliosawa tofauti na wale ambao hutoa visingizio.
Huimarisha fertilityKwa kuwa kushiriki sex hufanya mzunguko kuwa regular inakuwa rahisi mwanamke kushika mimba na kuzaa tofauti na mwanamke akiwa na mzunguko wa siku ambao ni irregular.
FAIDA KATIKA KIROHOWatafiti wengi wanakiri kwamba kuna sexual energy kama energyzingine ambayo wakati wa sex ikiunganishwa kati ya mwanaume na mwanamke hasa wakati wa kufika kileleni huweza kuwaunganisha wawili in deepest part of of selves.Na hii energy (non physical) huweza kuimarisha maeneo mengine ya maisha yetu, hutufanya kujisikia ni kitu kimoja na kuwa strongerzaidi katika nafsi na mahusiano kwa ujumla.Hivyo matokeo ni kujisikia vizuri wewe mwenyewe, mwenzi wako na maisha kwa ujumla.
TAHADHARI:Hii mada ni kwa ajili ya kupeana habari tu (ndiyo maana hakunareference links, ingawa unaweza mwenyewe ku- Google),Jambo la msingi ni kwamba kuna umuhimu wa hali ya juu sana kuzingatia kwamba hapa tunazungumzia sex katika ndoa tu na si zaidi ya hapo.Pia ni muhimu kuzingatia kwamba ili kushiriki sex ni muhimu kuangalia afya ya mwenzi wako, maadili na kutii sheria na amri za Mungu otherwise badala ya sex kukupa afya inaweza kukuua kimwili na kiroho.

Friday, June 19, 2009

MAANA YA NDOA




Ningependa kuelewa nini maana ya ndoa kutoka kwenu. Nia yangu ni kutaka kupata mitazamo mbalimbali kutoka kwenu mnavyoelewa kuhusu hili. Kuna mdau yeye kasema ndoa ni tendo la ngono, kuna ukweli hapo au anatudanganya? Mwenye majibu zaidi anakaribishwa.

HAWARA VS NYUMBA NDOGO

Nimekutana na wadada wakibishana kuhusu hawara na nyumba ndogo, kila mmoja akitetea upande wake yupi anaheshimika zaidi. Nijuavyo mimi wote ni wezi wa ndoa za watu na hakuna mwenye kuheshimika zaidi. Sasa wadau sijui mnasemaje kuhusu hili. Na ukimfumania mumeo au mkeo kitandani na mtu mwingine nini cha kufanya? Ni kipi haswa huwafanya mpaka wanaume wahamie kwa hawara au nyumba ndogo?
Tupo hapa kwa ajili ya kuelimishana kunusuru ndoa nyingi, karibuni tuchangie mawazo.

Thursday, June 18, 2009

WHAT WOMEN WANT WHEN 30 YEARS OLD

Women in their early thirties are rethinking the way they approaching their careers. It was very common for many women in their early thirties to choose a career over love and romance. The priority today it seems is finding a man and settling down. Whatever it takes to get ahead in business is not top priority. Putting their relationships and personal lives ahead of their careers has for many women becoming very rewarding. The big 30 is like a milestone where women feel they are more attractive to the opposite sex and the thought of being unappealing in the late thirties and single was not welcoming.
More and more women however, are having their first child in their late thirties as a result of the career aspirations. This was the trend over the past ten years but the thirty years mark will continue to be the marking point.


DOES THIS ARTICLE MAKE SENSE AT ALL????

Thursday, June 11, 2009

PERFECT MAN/WOMAN

Is it true that there is a perfect man or woman?

THE BEDROOM QUIZ


Do you believe your girlfriend or wife when she claims to have an orgasm?

STYLE ZA KULALA NA MAJINA YAKE













Woman depends on man sleeping style

Trust each other sleeping style

Sayang & usually old man & Young women sleeping style

The Royal Position

The Honeymoon Hug





Loosely tethered Sleeping Style

Wednesday, June 10, 2009

KUNUNUA NGONO

Leo ni leo, mjadala unaendelea kwa kasi sana, yaani inabidi tujadili suala hili. Hivi kwa nini watu wananunua wenzao kwa ajili ya kutenda nao ngono? Karibuni barazani tufahamishane.

MAMBO YA MSALANI NA KUJIKUNA


Jamani jamani jamani, hivi kwa nini wanaume wengi hawanawi mikono wakishajisaidia haja ndogo? Halafu utakuta mtu anakusalimia kwa kukupa mkono na unashindwa kukataa unakubali matokeo.

Mwingine ati kila akikaa shurti ajikunekune sehemu zake kila wakati, hivi ni ugonjwa au ndio mapozi yenyewe?

Yangu ni hayo tu kwa leo.

Tuesday, June 9, 2009

MARRIAGE PROPOSAL

Quick proposal, feelings remain for ex?

TENDO LA NDOA


MJADALA: Nani hufurahia zaidi tendo la ndoa kati ya mwanaume na mwanamke????






MAPENZI NA PESA


Hivi jamani ni kweli kwamba magomvi na malumbano mengi kwenye familia zetu husababishwa na masuala ya 'pesa' aka 'mshiko' kama watoto wa mjini wanavyosema?

Na je ni lazima umuelezee mpenzi wako kuhusu matumizi yako ya pesa (binafsi) kila mara?


Karibuni tujadili..

SEXUAL DESIRE


Nimesikia hili neno katika mazungumzo mengi ya mtaani
kwetu na ningependa haswa kufahamu wadau mnaelewaje
kuhusu haya maneno.
Nini haswa maana ya sexual desire?

Kuna mwenye jibu hapo?

NINI MAANA YA SEX


Wadau natanguliza shukrani zangu kwenu, na ninafungua blog kwa mada ya kwanza kabisa ikilenga haswa kutaka kufahamu wenzangu mnaelewa nini kuhusu neno sex.

Swali ni; Nini maana ya sex? / What is sex?
Kwa wale wadau wa kiinglishi mnaruhusiwa kutumia lugha hiyo kujieleza pia.