Kwa akina sie, tunaotaka kupunguza miili si vibaya kutumia diet hii... rafiki yangu wa karibu amefanikiwa kupunguza kilo 5 ndani ya siku saba..
Na yeye anasema penye nia pana njia...
Link ndio hii hapo nimewawekea.
Here is the link to the diet! You can just click on the different tabs to see the explanations
http://www.cabbage-soup-diet.com/eating-plan.html
OR
http://www.cabbage-soup-diet.com/recipe.html
WATAFITI: Miti ni kinga ya Wakulima Dhidi ya Joto Kali
42 minutes ago
No comments:
Post a Comment