Ikitokea uko na mpenzi wako mmekaa sehemu mkifurahia maisha, na akatokea mtu pembeni yenu akawa anamkonyeza tena kwa makusudi, utafanya nini kama wewe ndio mhusika? Hii ni kwa pande zote mbili?
nawasilisha mezani mnisaidie kutatua ..
Karibu sana katika blog yangu, utajifunza mengi kutoka humu na kuchangia mada muhimu zinazoizunguka jamii yetu kwenye masuala haya muhimu. Chukua mkeka na kigoda na kaa tayari kwa mkao wa kupata mada motomoto.... Tafadhali tumia lugha nzuri ya kiingereza au Kiswahili.
No comments:
Post a Comment