Friday, August 28, 2009

SWALI LA WKEND

Swali langu linasema hivi; kipi kizuri kati ya mume mwenye pesa na mali ambaye ana muda mwingi wa kufuatilia biashara zake kuliko kuwa karibu na familia na Mume maskini ila mwenye muda mwingi wa kukaa na familia?

Msaada wenu ni wa muhimu sana kwangu.

4 comments:

 1. kwa upeo wangu ni heri kua na mwanaume maskini ila mnakua wote nyumbani kuliwazana na ku enjoy raha ya ndoa kwan pesa sio mahitaji yote...

  ReplyDelete
 2. mwenye pesa bibi weeeeeee,uyo maskini mtakaa muangaliane mtakula mawe?alaa...pesa kwanza maisha yenyewe si unaona...atakua busy na biashara ila jioni atarudi...kuliko uyo mtakae kaa muangaliane macho pakula hampajui....changamka bibie!!!!!!!

  ReplyDelete
 3. Mwenye pesa bwana,,,kwani dunia ya sasa ni kutafuta hela na si kingine,,baada ya hapo ndo mtaliwaza mkipata nafasi...Ujue huyo maskini mtaangaliana mpaka mtachokana,,,,pesa ndo maisha,,,bila pesa hakuna life weeeeee wawapi

  ReplyDelete
 4. Wote si waume bora.....wote wanakera heri usiolewe kabisa vinginevyo utajuta.

  ReplyDelete