Thursday, October 22, 2009

SIFA ZA MUME BORA NI ZIPI?

Mwanamke hufikia kipindi fulani akapenda kutulia na kuanza maisha ya ndoa. Kipindi hiki huwa kigumu sana na kuhitaji maamuzi sahihi. Hivyo basi mada yetu inatuletea sifa za mume bora, japo ni nyingi nyingine utaongezea kwa kutoa maoni yako. Maswali muhimu ya kujiuliza ni;

1. Mwenzako anafurahia kukaa na kufarahi na wewe katika muda wenu wa ziada?
2. Je anapenda kukaa na wewe mbele za watu au ndani mkiwa wawili tu?
3. Je anapenda au kuonyesha hisia za kuvutiwa na fani yako ya kazi? (profession)
4. Je anapenda kukuletea zawadi hata kama sio sikukuu yeyote? (suprises)
5. Je anayapa mahitaji yako kipaumbele?
6. Je anakufanya uwe na furaha na kutabasamu?

Mengine ongezea msomaji maana maswali ni mengi kwelikweli..

2 comments:

 1. unamtamani huyo mume bora, eeh?
  pole, mama.
  unafikiri utampata huko kwenye mabar na kumbi za starehe unakokesha kila siku?
  ndo maana wanaishia kukuchezea na kukudump tu.
  ila nisikukatishe tamaa, endelea kuamini...ipo siku....
  najua hutachapisha hii lakini msg sent and delivered

  ReplyDelete
 2. Utajibeba....kama weye miguu yako imefungwa kamba. Aliyekwambia namhitaji mume nani? Usiniletee frustrations zako...

  ReplyDelete