Wednesday, July 1, 2009

Maswali muhimu katika mahusiano
Wapendwa wadau, leo ningependa tujiulize na kujikumbusha vitu vitatu ambavyo kwangu mimi naona ni muhimu kwenye mapenzi. Mara nyingi binadamu tunapenda kulaumu bila kujiuliza sababu za penzi kuporomoka, hivyo basi napenda kuwajulisha vitu vitatu ambavyo vinaweza kuchangia penzi lenu kuwa imara kila siku.
1. Muulize mpenzi wako ni vitu gani usivyopenda?


2. Ni kipindi gani tulifurahia pamoja na kwa sababu gani?


3. Ni wapi unadhani tunaelekea?
1 comment:

  1. mambo niaje mtuwangu, mimi ni mdau mkubwa wa web hii, mi nikoi bongo plz call me via 0713-750910 nina long story nataka nikutel plz do it now

    ReplyDelete