Wednesday, July 8, 2009

MDAU ALONGA NA BLOG. Umbo lako wakati wa tendo la ngono

Natambua kila mwanamke “anamkao” wake anaupenda wakati wa kufanya ngono/mapenzi, na baadhi yetu huwa tunapenda “mikao” hiyo kwa vile ni rahisi kuifanya na inatufikisha haraka kileleni. Lakini kumbuka kuwa kufika kileleni kunategemea zaidi akili na mawazo wako(yalipo wakati huo).

Sasa wengi hunakimbilia “mikao” mirahisi kwa sababu akili yako inakuwa imetulia kwamba hunawasiwasi kama umepatia “makao” huo, kwa mfano; wanawake ambao wanamatiti madogo na wanajua fika kuwa wapenzi wao wanapenda makubwa hupata taabu ikiwa watajiweka ktk “mkao” wa kifo cha mende(mwanaume juu).

Wale wenye matumbo makubwa huofia kumuondolea hamu mpenzi ikiwa yeye mwanamke atakuwa juu (kifo cha mende), hali kadhalika kwa wale wenye matako bapa huofia kubong’oa (mbuzi kagoma) wakihofia wapenzi wao kutofurahia mandhari n.k.

Ila ukweli ni kuwa mpenzi wako akikupenda anakuwa amekupenda jinsi ulivyo(hata kama alikupendea tabia ni wazi kuwa itambidi apende na vingine kwasababu ndivyo vinakufanya uwe wewe na sio yule) hivyo huna haja ya kutojiamini unapofanya nae mapenzi, swala lingine ni kuwa unapokuwa mtundu kitandani na mwepezi ktk mchezo akili yake inakuwa kwenye kufurahia na sio kukuchunguza ulivyoumbwa.

Ninachojaribu kusema ni kuwa haijalishi umeumbwa vipi au umeumbikaje, unapokuwa na mpenzi wako jaribu kufanya mikao angalau minne ktk mzunguuko mmoja, ikiwa mpenzi wako anaweza kujizuia kwa muda wa nusu saa tu na kitendo cha kubadilisha “mikao” kinamfanya amwage haraka au apoteze “ugumu” basi hakuna haja ya kubadili “mikao”, fanyeni huo mmoja mpaka wote mmemaliza.

Lakini kama wewe unae yule anaeweza kujizuia kwa dakika arobaini na tano hadi saa nzima hapo “nswalu”, fanyeni “mikao” ya kutosha ktk mzunguuko mmoja kisha mizunguuko itakayo fuata mnaweza mkafanya mkao mmoja-mmoja mpaka mzimie (mchoke).

Nia na madhumuni ni kuzoesha mwili wako na vilevile kukusaidia wewe mwanamke kukaza misuli hasa ile ya tumbo, mapaja na matako. Natambua kuwa ni ngumu kufanya ngono kwa kubadilisha mikao zaidi ya miwili ktk mzunguuko wa kwanza kwa vile mwili wako haujazoea kufanya mazoezi (sio lazima ushiriki gym) unaweza kufanya mazoezi ya kawaida tu nyumbani kwako kila siku asubuhi na jioni na utakuwa sawa ktk jambo ninalozungumzia.

No comments:

Post a Comment