MTAZAMO: Mtu na mpenzi wake hawapaswi kuzungumzia masuala ya pesa kwa sababu mara nyingi husababisha malumbano au ugomvi.
UKWELI: Mtu yeyote hawezi kuwa na uhusiano mzuri wa kimapenzi kama hawawezi kukaa pamoja kuongelea na kukubaliana masuala ya kifedha.
ANGALIZO: Wanaume na wanawake wako tofauti sana kwa jinsi wanavyochukulia suala la fedha kwenye mahusiano.
Karibuni kwa mchango wenu wa mawazo... Shukrani sana
No comments:
Post a Comment