Friday, June 19, 2009

HAWARA VS NYUMBA NDOGO

Nimekutana na wadada wakibishana kuhusu hawara na nyumba ndogo, kila mmoja akitetea upande wake yupi anaheshimika zaidi. Nijuavyo mimi wote ni wezi wa ndoa za watu na hakuna mwenye kuheshimika zaidi. Sasa wadau sijui mnasemaje kuhusu hili. Na ukimfumania mumeo au mkeo kitandani na mtu mwingine nini cha kufanya? Ni kipi haswa huwafanya mpaka wanaume wahamie kwa hawara au nyumba ndogo?
Tupo hapa kwa ajili ya kuelimishana kunusuru ndoa nyingi, karibuni tuchangie mawazo.

2 comments:

 1. shukrani natanguliza kwa haka kalibeneke.
  labda tu kwa kuanza niseme siwezi kutetea ni nani bora kati ya hawara au nymba ndogo,ila nielekeze mchango kwa kujibu swali la"ninini hasa humfanya mwanamume kuchepuka nje ya ndoa"
  mimi kama mwanamume kwanza niseme hapa kuna sababu nyingi tu zinazopelekea mwanamume kuchepuka nje ya ndoa.nazigawa kama ifuatavyo:-
  1.mahusiano mabaya ndani ya ndoa yanayopelekea ndoa kutokuwa mahala pa kupumzika bali mahali pa kujibu tuhuma na kuwekwa kitimoto cha hapa na pale hata bila sabau za msingi.
  2.HAPA SASA MTANIWIA RADHI;
  nikweli kabisa mwenyezi mungu kasisitiza watu wasifanye uzinifu kabla ya na nje ya ndoa.lakini kutokana na udhaifu wa binadamu unaochangiwa na sababu nyingi hupelekea binadamu huyu kuanza tendo la ngono kabla ya ndoa na maranyingi uhusiano huu huwa namahusiano haya na wasichana tofauti ktk maisha yake. napenda nijitolee mfano mimi mwenyewe kilicho nitokea.
  mimi nikiweza kujiwekea lengo la kuoa bila kuwahi kushiriki tendo la ngono,nikasoma hadi nikamaliza chuo,lakini katika pilika za hapa na pale nikajikuta nakwenda nje kusoma ktk elimu ya juu zaidi na uwezekano wa kuoa sikuwa nao,ndipo sasa mwili ukanilemea nikashindwa kujizuia zaidi nikaamua nitafute girlfriend,nikampata mtoto wa kizungu tuliyekuwa tunasoma naye,nikawa na mahusiano naye kisha alipochoka akaamua tuachane. alipo tema mzigo tu nikapata tena mwingine na hapa NIKAANZA KUONA TOFAUTI KATI YA A na B. nikweli wasichana wote hawafanani kitandani,kuna tofauti kubwa sana kati ya mmoja na mwingine,hadi sasa nikajikuta kamchezo hako ka kuwa na uhusiano una vunjika kwa sababu zinazolazimu bila ugomvi kama vile kuhama,kumaliza masomo n.k na kwakuwa hawakuwa tayari ktk kuoana nimejikuta tayari nimekuwa na ma girfriend 10 ndani ya 41/2 yr. kwa bahati mbaya wote ni wasichana wa kizungu
  UTAMU WENYEWE NDIO HUU:
  Katika hizo pitapita zangu kilinitokea kitu kilichonifanya nikaanza ku-cheat on one of them,nacho ni hiki:
  =yule msichana alikuwa ni mrembo sijawahi kuwa na gf mrembo kama yule kabla na baada,kusema kweli she is cute kwa sifa zote kuanzia sura,figure etc yaani mtu akiona unacheat hatakuelewa kwani mwingine anamtamani kwa nje, lakini JAMANI nyie ni watu wazima nadhani mtaelewa nachosema hapa,yaani kitandani nilikuwa naliona tendo la sex na yeye kama ni adhabu napata:
  1.hajui kuserebuka kabisa
  2.alikuwa pale kwa bibi ni kwa baridi sana kisha yaani sijui nisemeje hakunipi hisia yoyote kabisa,kamavile nimeingia sijui wapi vile,very sleamy and verybad experince indeed
  SASA NIKAJIULIZA JE KAMA INGEKUWA NDO YALE YA KUOANA MBUZI NDANI YA GUNIA JE NINGEFANYAJE?MAANA SIJARIDHIKA NA MBUZI MWENYEWE!nadhani ningelazimika kucheat sio kwa sababu napenda ila kwasababu nilisha onja nanasi kwa A,Embe kwa B,chungwa kwa C,ndimu kwa D,kisha nikakuta tango/palachichi kwa E.sasa kwakuwa silipendi tango mie ikawa tabu kwangu.
  kwa ufupi na experince yangu hiyo nadhani chanzo kikubwa huwa ni hicho(to find a different flavour baada ya kuwa hujui namna ya kulila tango kama hukujuwa tangu awali,au tamaa baadaya ya chungwa lako kuanza kuchacha na ukashindwa kulimaintain liwe ktk flavour nzuri)

  ReplyDelete
 2. jamani mm naasema kama ingelikuwa ni mm nimemfumania mume wangu,ukweli nikwamba ningepata kichaa gafla,ningeamua kuondoka eneo la tukio na kwenda sehemu ambayo naweza kutuliza akili nas kutafakari nifanye nn na kwann mume wangu ameamua kunisaliti.nitapo fika nyumbani na kukutana na mumewangu ningekuwa na maswali matatu yakumuliza,
  kwanza kwann ameamua kunisaliti?pili kati yangu na huyo hawara nani anampenda zaidi.na tatu nikitu ambacho sikumpa alikuwa anapewa nje

  ReplyDelete