Friday, June 19, 2009

MAANA YA NDOA
Ningependa kuelewa nini maana ya ndoa kutoka kwenu. Nia yangu ni kutaka kupata mitazamo mbalimbali kutoka kwenu mnavyoelewa kuhusu hili. Kuna mdau yeye kasema ndoa ni tendo la ngono, kuna ukweli hapo au anatudanganya? Mwenye majibu zaidi anakaribishwa.

No comments:

Post a Comment