Monday, June 22, 2009

PESA NA STRESS

Wapendwa wadau, leo nimekuja na hoja kuhusu uhusiano kati ya pesa na stress. Utakuta mtu analalamika akiwa hana pesa eti ana stress sana. Hivi kweli kuna uhusiano kwenye hivi vitu viwili au binadamu tunapenda sana kujitafutia sababu za stress?
Namalizia kwa kunukuu maneno yafuatayo; kumradhi nukuu yenyewe iko kwenye lugha ya kigeni na mkalimani yuko mbali.

" A recent study from Ohio state university found that people with financial problems, in particular credit card debt, suffered from more emotional problems than those who did not have money related stress". Mwisho wa nukuu, nasubiria hoja zenu wadau...

No comments:

Post a Comment