Wednesday, June 10, 2009

KUNUNUA NGONO

Leo ni leo, mjadala unaendelea kwa kasi sana, yaani inabidi tujadili suala hili. Hivi kwa nini watu wananunua wenzao kwa ajili ya kutenda nao ngono? Karibuni barazani tufahamishane.

1 comment:

  1. laba swali ni kwamba kwanini watu wanakubali kununuliwa. mimi naona ni sababu ya shida tu maana kama ni kufaidi mi naona kama wte vile! na ndio maana pia huwa sielewi kwanini ukiwa na girl friend mkiacha utasikia msicha analalamika kwamba jamaa alikuwa ananichezea tu. mbona wote mlikuwa mnachezea vile au nakosea hapa

    ReplyDelete