Tuesday, June 9, 2009

TENDO LA NDOA


MJADALA: Nani hufurahia zaidi tendo la ndoa kati ya mwanaume na mwanamke????


4 comments:

  1. Inategemeana na wawili; kuna uwezekano wote wakafaidi au mmoja au hakuna.

    ReplyDelete
  2. mi naona mwanaume na ndio maana huwa wanakojoa (fika kilele) mapema kuliko wanawake..... uhondoo!!!

    ReplyDelete
  3. Mwanaume ndiye anayefurahia zaidi tendo la ndoa,wanawake waliowengi wanapokua na wapenzi wao hawawazi tendo la ndoa bali huwaza zaidi matatizo walionao hivyo huwafanya wachelewe kufika kileleni.

    ReplyDelete