Monday, June 22, 2009

WOMAN VS MAN
Hivi mbona mnatuonea sana jamani, mdau mmoja engineer kanitumia theory zake za kumuelezea mwanamke,sasa sijui kama ina ukweli au la, nawaachia wadau mjionee wenyewe. Mimi mwenyewe hesabu not reachable naona maluweluwe tu..

2 comments:

  1. Anti mbona ma-engineer wanawake wapo pia au ulikuwa una maanisha engineer mwanamke?? I like the math though!! A++

    ReplyDelete
  2. Anonymous hapo juu, nilikuwa nikimaanisha kwamba nimetumiwa hiyo theory na rafiki yangu engineer. Ila simaanishi wahusika ni wanawake maengineer. No offence my dear.

    ReplyDelete