Tuesday, June 9, 2009

MAPENZI NA PESA


Hivi jamani ni kweli kwamba magomvi na malumbano mengi kwenye familia zetu husababishwa na masuala ya 'pesa' aka 'mshiko' kama watoto wa mjini wanavyosema?

Na je ni lazima umuelezee mpenzi wako kuhusu matumizi yako ya pesa (binafsi) kila mara?


Karibuni tujadili..

1 comment:

  1. Si kwa sana kwa sasa hivi, mambo ya mapenzi ndiyo yanaleta shida zaidi. Unaweza kushare na mwenzio mambo ya fedha lakini kwa kiasi fulani

    ReplyDelete