Nimesikia hili neno katika mazungumzo mengi ya mtaani
kwetu na ningependa haswa kufahamu wadau mnaelewaje
kuhusu haya maneno.
Nini haswa maana ya sexual desire?
Kuna mwenye jibu hapo?
Karibu sana katika blog yangu, utajifunza mengi kutoka humu na kuchangia mada muhimu zinazoizunguka jamii yetu kwenye masuala haya muhimu. Chukua mkeka na kigoda na kaa tayari kwa mkao wa kupata mada motomoto.... Tafadhali tumia lugha nzuri ya kiingereza au Kiswahili.
matamanio ya ngono.
ReplyDeletesexual desire ni matamanio ya jimcia jingine dhidi ya jinca ya pili na hii inaweza kutokea endapo mtu atakuwa amependeza au kuvutia kimwonekano au hata kimavazi,vilevile vimwendendo hata kimaongezi.na hii inatokana na kwasababu kila mtu anakitu kinacho mfanya awe amemtamani mtu.
ReplyDelete