Mjadala wa nyumba ndogo unaendelea na kujaribu kuangalia upande wa jinsia ya kiume. Je wanaume wanaotembea na wake za watu nao ni mahawara au nyumba ndogo aka small house??? Haya yamemkuta mdau wa ughaibuni alinusura apoteze maisha.
RAS MNYEMA AFUNGUA MAFUNZO YA MFUMO WA O& OD
1 hour ago

walahi tena pamoja na kwamba jamaa hjamkamata mwezi wake lakini hii njema nadhani ukini hautasimama kwa muda mpaka atakaposahau hii siku!! ni muziki muzito
ReplyDelete