Wednesday, June 10, 2009

MAMBO YA MSALANI NA KUJIKUNA


Jamani jamani jamani, hivi kwa nini wanaume wengi hawanawi mikono wakishajisaidia haja ndogo? Halafu utakuta mtu anakusalimia kwa kukupa mkono na unashindwa kukataa unakubali matokeo.

Mwingine ati kila akikaa shurti ajikunekune sehemu zake kila wakati, hivi ni ugonjwa au ndio mapozi yenyewe?

Yangu ni hayo tu kwa leo.

No comments:

Post a Comment