Wadau natanguliza shukrani zangu kwenu, na ninafungua blog kwa mada ya kwanza kabisa ikilenga haswa kutaka kufahamu wenzangu mnaelewa nini kuhusu neno sex.
Swali ni; Nini maana ya sex? / What is sex?
Kwa wale wadau wa kiinglishi mnaruhusiwa kutumia lugha hiyo kujieleza pia.
sex maana yake ni jinsia, yaani mwanamke au mwanamme period
ReplyDelete