Wednesday, June 24, 2009

VYUMBANI MWETU
Mjadala wetu kwa leo, ungependa kuangalia zaidi suala la vyumba vya kulala. Kuna mdau yeye kasema chumbani ni lazima pawe na mazingira fulani ili yeye awe na hamu ya kufanya mapenzi na mwenzi wake. Yeye anasema bila chumba kunukia udi au maua, anakuwa hana hamu kabisa ya tendo la ndoa. Kwa kuwa tupo kwa ajili ya kuelimishana sio vibaya tukachangia mawazo ni nini haswa mazingira yanayotakiwa chumbani, na kama kuna uhusiano kati ya chumba na tendo la ndoa.

1 comment:

  1. safi sana chumba kikiwa kisafi kitanda kimetandikwa vizuri ,udi umefukiza asmini na vilua ni moajawapo ya kufanya uwe na hamu ya tendo la ndoa haswa na nyie wote mkiwa wote mko safi ni rahisikua na hamu ya tendo la ndoa .

    ReplyDelete