Monday, June 22, 2009

FUMANIZI LA LEO

Mjadala wa nyumba ndogo unaendelea na kujaribu kuangalia upande wa jinsia ya kiume. Je wanaume wanaotembea na wake za watu nao ni mahawara au nyumba ndogo aka small house??? Haya yamemkuta mdau wa ughaibuni alinusura apoteze maisha.

1 comment:

  1. walahi tena pamoja na kwamba jamaa hjamkamata mwezi wake lakini hii njema nadhani ukini hautasimama kwa muda mpaka atakaposahau hii siku!! ni muziki muzito

    ReplyDelete